Serikali ya zanzibar wana katiba,serikal ya Muungano nayo ina katiba,yetu watanganyika iko wap? Je muungano ukivunjika,nchi yet itaongozwa na nn? Maana katiba ya muungano itakuwa haina kazi,anayejua Katiba ya Tanganyika ilipo anisaidie.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.