Search results

  1. shabani

    TANZIA: Makamu Mkuu wa UDOM, Prof. Egid Mubofu afariki dunia. Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

    Habari za Kusikitisha siku ya leo ni Kufariki kwa Prof Mubofu VC wa UDOM baada ya kulazwa kwa muda Mrefu kiasi. Mungu amlaze mahala Pema.
  2. shabani

    Kampuni Binafsi zimeruhusiwa tena kuzalisha Umeme au?

    Niliwahi kuona kuna katazo la kutokuingia mikataba mipya na wazalishaji umeme Binafsi, katazo lile limefutwa au la. Hope as PM visits site of Sh670bn power project The optimism comes after Prime Minister, Kassim Majaliwa visited the project site in Bagamoyo last week in which he directed...
  3. shabani

    Hukumu ya kesi za Uchaguzi Morogoro

    Kama umeangalia vizuri taarifa ya habari ya Azamtv, Kesho kuna kila dalili Chadema watapoteza Mbunge mmoja mkoa wa Morogoro.
  4. shabani

    Pindi Chana ashindwa kuibuka kidedea ubunge viti maalum Njombe

    * Waziri Pindi Chana Achanika Njombe *Wanawake Washerekea Kudondoka kwake Matokeo ya Ubunge Viti Maalum Mkoa wa Njombe ni kama ifuatavyo:- 1. Dkt. Suzan Kolimba kapata kura 252 2. Mhe. Neema Mgaya amepata kura 213 3. Mhe. Pindi Hazara Chana 164 4. Ms. Erika Sanga amepata kura 107 5. DC...
  5. shabani

    Tigo finally acquires Zantel

    Millicom has arranged with an undisclosed international bank that will provide a $100 million five-year credit facility for the deal Dar es Salaam. Millicom International Cellular that trades as Tigo has finally acquired an 85 per cent stake in Zanzibar Telecom (Zantel) from the United Arab...
  6. shabani

    IMF cautions govt over spending, Pinda reacts

    IMF cautions govt over spending, Pinda reacts Premier Mizengo Pinda speaks to city-based journalists soon after landing at the Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam yesterday. PHOTO | EDWIN MJWAHUZI IN SUMMARY The Bretton Woods body says the government, faced with tax...
  7. shabani

    Baada ya kusoma makala yake nikaisaka CV ya Njelu Kasaka

    MEMBER OF PARLIAMENT CV GENERAL Salutation Honourable Member picture First Name: Njelu Middle Name: E.M. Last Name: Kasaka Member Type: Constituency Member Constituent: Lupa Political Party: CCM Office Location: P.O. Box 12382, Dar es Salaam Office Phone: +255 741 530227...
  8. shabani

    Kwa hiyo hawa 3 ni tofauti na wale mizigo saba?

    Hapa ndipo huwa nawashangaa washauri wa na Rais wetu mwenyewe, unafukuza mawaziri watatu, mmoja kajiuzulu mwenyewe na wengine saba amewahoji na kamati yake ya chama, sasa kwanini asitangaze tuu baraza jipya la mawaziri na kutuepusha kukaa bila mawaziri kwa muda hadi atakaorudi toka kula BATA...
  9. shabani

    China kujenga bandari kubwa Afrika. Kumbe na mambo ya kijeshi yapo humo humo

    China Builds The Biggest Port In Africa April 8, 2013: China is investing $10 billion to build a new port at Bagamoyo (northwest of Dar es Salaam) and improve infrastructure related to the port improvement. This will make it possible to greatly increase trade. This mainly consists of shipping...
  10. shabani

    Tudai nguvu yetu ya umma kupitia mch Mtikila

    Naomba tumchangie mchungaji Mtikila ili afungue kesi ya kudai viwanja vyetu vyote vya mpira miguu vilivyo chini ya CCM virudi mikononi mwa UMMA. Viwanja karibu vyote vipo ktk hali mbaya na pia vilijengwa kwa nguvu ya umma.
  11. shabani

    Pamoja na kujitangaza kupitia EPL, bado hata waingereza wenyewe hawajui kama Tanzania ni nchi!

    Juzi nilikuwa nasikiliza BBC idhaa ya kiswahili kukawa na mahojiano kama ya wanafunzi watatu hivi ambao wamekuja na wenzao kupanda MLIMA KILIMANJARO, kibaya zaidi walipitia KENYA na walipokuja kutaka kupanda mlima ndipo wanaambiwa itabidi twende Tanzania ili muweze kupanda, wote wakashangaa...
Back
Top Bottom