Naomba msaada jamani kwa anaejua, nilimwazima MTU SIMU YANGU akaweka laini yake amenirudishia naweka laini YANGU inaandika enter privacy password namuuliza hata yeye anasema hajui! Naomba msaada.
wakuu naomba kueleweshwa sababu jana wakati najiandikisha kuchukua kadi ya kupigia kura walikua wanakuja wanajeshi makundi makundi wanajiandikisha je ni sahihi na je wanaruhusiwa kupiga kura?
jaman naombeni msaada nina mtoto ana miaka 4 na nusu lakini haongei yaani ni kama ana matatizo ya ubongo na inapoleta utata anajisaidia haja kubwA kwenye nguo bila taarifa sasa kwa anaeelewA namna ya kumweka katika hali ya usawA anisaidie
wakuu naombeni msaada kuhusu uc browser maana nimei donload zaidi ya mara tatu ila inagoma tu tatizo kila napoingia inaniandikia neno hili#ooops link appears expired sasa sijui tatizo ni nini
simu yangu ni blackberry 9810 tatizo lake ni kuingiza moto wakati wa kuichaji unapochomeka chaji inaonyesha inaingiza moto lakini haijai na baadae inanyonya chaji iliokuwemo kwenye simu betri nikiichaji kwenye kobe inaingiza moto na ninaitumia mpaka masaa kumi na tatu. nimepeleka kwa mafundi...
Natumia blackberry 9810 naomba msaada namna ya ku download software google play maana kila nikijaribu nashindwa.
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.