Ndugu zangu Watanzania,
Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa...
Inasemekana, magereza ya Tanzania ni tofauti sana na ya Ulaya na nchi zingine "zilizostaarabika". Mfungwa wa Ulaya hukoseshwa uhuru tu wakati wa Tanzania hunyimwa karibia kila kitu: uhuru na...
Niliongea hapa na watu mkaleta Njaa zenu coz Watanzania wengi tunatamaa sana na tunawaza hela sana na ndio maana hata viongozi vijana nao wamejaa Rushwa because wanawaza pesa tu wakipata nafasi...
Habari zenu.
Maisha ni yamenizonga sana nataka kuanza kunywa pombe angalau nipoteze kuwaza sana. Ni kinywaji gani hakina alcohol kubwa lakini kinatuliza mawazo?
Nawaza sana maisha mpaka nakonda...
Nimeenda kumsalimia mshikaji wangu kajenga nje ya mji kidogo, tulikua kama watatu, tulipofika story zikaendelea jamaa tukawa tunamsifia katengeneza garden amazing, akaenda kukata miwa tutafune...
Baadhi ya wanachama wa Chadema akiwemo Kamanda Maranja wamesema wanashangaa kuona TV za CCM zikijazana nyumbani kwa mchungaji Msigwa kuripoti Mkutano wake
Maranja amesema TBC, Channel ten, Ayo TV...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.