Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mafia nimekutana na changamoto ya Ulawiti na Ubakaji. Katika wilaya zote ambazo nimehudumu sijawahi kukutana na changamoto kubwa ya Ulawiti na Ubakaji kama ambavyo ipo Mafia. Mwalimu mwingine wa...
4 Reactions
119 Replies
3K Views
Hizi PhD za mfululilizo zinanipa alarm juu ya rasilimali za Tanzania. India wametoa PhD majuzi tu wamepewa gati nambari 2. Sasa sijui JMT au DP ndio waliowapa tenda. Korea nao wameona mpenyo.
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Hivi kwa nini asilimia kubwa ya viongozi Wanawake wakubwa serikalini na taasisi zake wengi hawana waume Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasiooleea au? Huu ni ubaguzi wa wazi...
15 Reactions
95 Replies
3K Views
Askofu Mwamakula amesema Waliohujumu na kuiba kura kwenye Uchaguzi mkuu wa 2020 hawatofautiani na wanaohujumu wenzao Katika Chaguzi Ndani ya Vyama Kama Chadema kitasahau machozi ya 2020 na...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
IKIWA UNA MIAKA 35 NA ZAIDI NA HUONI KAMA WEWE NI MUHUSIKA KATIKA SHUGHULI ZA KIJAMII KAMA MISIBA, HARUSI NA MAENDELEO, JIPIGE KIFUANI MARA TATU Na Comrade Ally Maftah Ikiwa una kiwango cha...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndugu Mtanganyika , usimkope ndugu yako hela kwa sababu kuna hatari ya kuharibu uhusiano wenu. Kukopa hela kwa ndugu kunaweza kusababisha migogoro na mvutano, hasa kama kuna tatizo la kulipa deni...
3 Reactions
9 Replies
104 Views
Mtumishi mwenye Mkataba namba Na.SMC/CW/PF.113/3 amefika Ofisini kwetu na ameomba tupaze sauti kwa niaba yake. Hii hapa historia fupi ya malalamiko yake. Wakati wa zoezi la uhakiki wa Watumishi...
2 Reactions
3 Replies
80 Views
Kama Yanga wanataka kubeba kombe la Club Bingwa Africa lazima wafanyie kazi udhaifu uliopo kwenye upigaji penati na mipira ya adhabu. Gamond ni bonge la kocha lakini si mzuri kwenye hizo sehemu...
4 Reactions
28 Replies
661 Views
Nimekaa pale nawazoom Watanzania mimi mlinzi msomi na mwenye vinasaba vya kinabii. Hizi sifa anazozichukua huko mitaani kwenye ziara zake huyu Mheshimiwa zitamfanya 2030 aione iko mbali. Maana...
9 Reactions
85 Replies
4K Views
Salaam, Shalom! Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini, Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini, Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za...
8 Reactions
121 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,707
Posts
49,784,160
Back
Top Bottom