Habari wakuu
Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam
Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali...
Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB
Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye...
Nakiri wazi kabisa kwamba baada ya Uongozi wa Fatuma Karume na Tundu Lissu kumalizika , TLS iliuawa, Edward Hosea na Huyu Sungusia ni kama walikuwa Mamluki waliokuja kukiua hicho chama cha...
Wakuu, nimelala nikiwaza namba ya kupata CV niliyoutaja hapo juu.
Wengi tutajiuliza,ninaitafuta ya kazi Gani?
Niwe muwazi kuwa ubinafishwaji wa uwanja wa ndege wa Kilimanjaro ( KIA), ubini wake...
Salaam, Shalom!!
Usishangazwe na salamu, Kuna Wana wa Mungu wamenitoroka, nawatafuta niwarudishe nyumbani. Turudi kwenye mada.
Katika kuishi kwangu nimewahi kuona aina mbalimbali za walevi, Kwa...
Mamlaka tunaomba mfuatilie habari hizi vinginevyo jamii yetu inaharibika.
Ikumbukwe Ile Hoteli Iko jirani na makazi ya watawa wa Kanisa la RC ambako yanatolewa mafunzo na kulea watawa.
Japo...
Nilichojifunza kuhusu Africa Kusini kwenye uchaguzi wao , ni yafuatayo:
1. Kwenye uchaguzi wao wameaangalia sera zaidi, sio vyama vya siasa au utumbuizaji wa wasanii kwenye majukwaa ya kampeni...
Tukiacha uchawa tujiulize tusiwe tunashabikia vitu tu kama misukule?
Airport zote za KIA na Zanzibar zinategemea watalii. Sasa ni kwanini kama kuna sababu tuambiwe tunasikia airport ya KIA...
Tunawasaidia Wajasiriamali Kufikia Mafanikio!🚀
Je, unataka kukuza biashara yako kwa bidhaa bora kutoka China? 🌏 Wakati ndio huu! BlueSky Air Cargo tunakuwezesha kusafirisha mizigo yako kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.