Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Wakuu, habari za muda na wakati huu. Katika harakati za maisha na kujitafuta unakuta umesoma Elimu nyingine ila mpenyo wako ulipata ulipo amua ku step up nakusoma kishort kozi kikakutoa...
20 Reactions
303 Replies
20K Views
Habari wakuu Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali...
5 Reactions
49 Replies
509 Views
Mafia nimekutana na changamoto ya Ulawiti na Ubakaji. Katika wilaya zote ambazo nimehudumu sijawahi kukutana na changamoto kubwa ya Ulawiti na Ubakaji kama ambavyo ipo Mafia. Mwalimu mwingine wa...
2 Reactions
110 Replies
3K Views
Waziri mkuu wa Israel hapana shaka ataingia kwenye rekodi za dunia kama mtu aliyeleta mateso makubwa si kwa wapalestina peke yao bali kwa dunia yote.Tayari ameshampiku Hitler na wengine waliotajwa...
2 Reactions
72 Replies
978 Views
huyu dada anaemfahamu anijulishe MP contact zake tafadhari
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye...
17 Reactions
623 Replies
11K Views
Yule mwamba aliyewahi kuwa raisi wa Iran ambaye aliwakosesha usingizi viongozi wa nchi za magharibi wakati wa uraisi wake amekubali maombi ya wapenda haki wa Iran kugombea tena uraisi ili...
0 Reactions
4 Replies
5 Views
French President Macron to announce: "Europe is at war with Russia" on June 6 JUNE 02, 2024 June 6 will be a landmark day for the whole of Europe. France will officially make the first...
2 Reactions
28 Replies
340 Views
Urusi imeishutumu Nato na Marekani kwa "kuchochea kiwango kipya cha mvutano" baada ya Marekani na Ujerumani kuwa washirika wa hivi punde kuruhusu jeshi la Ukraine kutumia silaha zinazotolewa na...
10 Reactions
50 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,614
Posts
49,781,172
Back
Top Bottom