Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga.
Mwanadada huyo na Kigogo wapo katika penzi la...
Nimetoa mchango wangu wa mawazo kwa kadri nilivyobarikiwa kupitia akaunti. Nimekuwa mwana JF mtiifu wa sheria lakini nimebainishwa kwamba niwe makini na walimwengu.
Walionipa taadhari ni watu...
Mimi nina maswali kuhusu Jamii forum nataka kufahamu mawasiliano yetu in essence of PM je huwa ni End to end encrypted? Sababu kunawadau washalalamika kuhusu kujikuta watu watatu PM [emoji1787]
Wakuu nilikuwa naomba kujua kiundani juu ya kozi hii ya electrical and biomedical engineering.
Je, unaposoma cozi hiyo utajishughulisha na ufundi wa vifaa vya tiba au na umeme kwa ujumla.
Ahsanteni
Ndugu zangu Watanzania,
Uongozi ni kuacha alama zinazoishi katika Maisha na mioyo ya watu, ni kuacha kitu kitakacho simuliwa vizazi kwa vizazi,ni kuacha rekodi ambayo itaimbwa na kuzungumzwa na...
Kamishina wa PPP Mhe David Kafulila anasema "Wakati Rais Samia anaingia madarakani Uchumi wa Tanzania ulikuwa US$ 66BL Leo ni US$ 85BL sawa na ongezeko la US$19 wakati deni la nje ni US$ 5BL tu.
Wasalaam team.
Tangu Mhe Paul Christian Makonda achaguliwe na kuteuliwa kuuongoza Mkoa wa ArushA kila siku ni madudu madudu maduu,
Tanzania Ina jumla ya mikoa 32 na Wizara zaidi ya 17 Majimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.