Mamlaka tunaomba mfuatilie habari hizi vinginevyo jamii yetu inaharibika.
Ikumbukwe Ile Hoteli Iko jirani na makazi ya watawa wa Kanisa la RC ambako yanatolewa mafunzo na kulea watawa.
Japo...
Kwa mujibu wa economic intelligence Afrika Ina Hifadhi ya asilimia 30% ya Madini mbalimbali Duniani.
Kutokana hivyo ikabainisha Nchi 10 Zinazoongoza Kwa Mauzo ya Madini mbalimbali kuanzia...
Nimetoa mchango wangu wa mawazo kwa kadri nilivyobarikiwa kupitia akaunti. Nimekuwa mwana JF mtiifu wa sheria lakini nimebainishwa kwamba niwe makini na walimwengu.
Walionipa taadhari ni watu...
Kama haumpendi mtu/ haubarikiwi na mtu huna haja ya kumtukana mtu mtandaoni. Ndiyo maana waliotengeneza hizi App wameweka options za unfollow, delete, block. Inashangaza kuona mtu ana makasiriko...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Asilimia zaidi ya nusu ya muda wangu natumia kukaa na walevi kila siku na zaidi ya asilimia 90 ya marafiki zangu ni walevi wa pombe za viwandani na hata za asili.
Nilichokigundua kwetu sisi...
My Take
Beatrice wa Moshi amelipa Ile ya Penina wa Goba.Ubaonunasomae 1=1,ngoma hii Bado hakuna mshindi 😆😆😆😆😆
=======
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Beatrice Elias (36), mkazi...
Mafia nimekutana na changamoto ya Ulawiti na Ubakaji. Katika wilaya zote ambazo nimehudumu sijawahi kukutana na changamoto kubwa ya Ulawiti na Ubakaji kama ambavyo ipo Mafia.
Mwalimu mwingine wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.