Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu mambo vipi poleni na majukumu yakujenga taifa nawapenyezea hii wale wapenda magari na miendo Ile drag race iliyofanyika mwaka jana pale Nyerere bridge kigamboni inarudiwa tena hii ni season...
4 Reactions
67 Replies
684 Views
Habari za humu jf Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa Sifa zangu Trible:Chagga Elim Diploma Kazi: Biashara ndogondogo Dini:Mkristo Lutheran(KKKT) Sina mtoto wala...
19 Reactions
102 Replies
1K Views
Habari wakuu Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali...
3 Reactions
11 Replies
178 Views
Waziri mkuu wa Israel hapana shaka ataingia kwenye rekodi za dunia kama mtu aliyeleta mateso makubwa si kwa wapalestina peke yao bali kwa dunia yote.Tayari ameshampiku Hitler na wengine waliotajwa...
2 Reactions
44 Replies
665 Views
Wakuu nisaidieni namna gani naweza lipia kifurushi cha siku kwenye Azam tv alafu nione mechi ya final Yanga vs Azam.
2 Reactions
13 Replies
103 Views
Wakuu hawa jamii ya watu inakaribia kupotea Africa? Sasa je nini kinasababisha na wakati wao hawatumii uzazi wa mpango, wala hawachangamani na watu kifupi hawakubali maisha tunayoishi sisi jamii...
3 Reactions
81 Replies
408 Views
Niwape story kidogo,Mimi napenda sana wanaume wanaovutia, uyu mwanaume nilimpenda mwenyewe!!!! Kuna sehem tulikua tunakutana kila siku sehem ambayo Mimi nilikua nafanyia kazi, sasa kwenye iyo...
7 Reactions
35 Replies
231 Views
Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamuwa waumini michango hadi wanachukia dini.Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena...
10 Reactions
40 Replies
515 Views
Nasumbuliwa na bawasili ya ndani Kwa miaka 4 nshakula Kila aina ya dawa naombeni dawa ya akika jamani
1 Reactions
10 Replies
107 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,564
Posts
49,779,358
Back
Top Bottom