Habari wakuu
Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam
Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali...
Ikumbuke wilaya hii sehemu kubwa ilikuwa mkoa wa Kagera Wilaya ya Biharamulo, pia sehemu ya mkoa wa Mwanza wilaya ya Geita, namaanisha maeneo ya kata ya Buseresere na Rumasa.
Back to the point...
Asilimia zaidi ya nusu ya muda wangu natumia kukaa na walevi kila siku na zaidi ya asilimia 90 ya marafiki zangu ni walevi wa pombe za viwandani na hata za asili.
Nilichokigundua kwetu sisi...
App za mikopo mitandaoni kama Bongopesa wanatoa mikopo kwa riba kubwa sana na ikitokea umechelewa kuwalipa kwa muda wanawatumia SMS namba zote unazowasiliana nazo na kuwaambia umekopa na kuwaweka...
Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB
Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye...
Habari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala...
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.