Hivi kila mmoja wetu hapa sianaufahamu angalau kidogo kuhusiana na masuala ya mchezo wa mpira, ni wazi kila mmoja wetu hapa anaufahamu angalau kidogo kuhusiana na masuala ya mchezo wa mpira, hivi...
Kwema ndgu zangu...
Ni ndgu yenu Mmanyanigho hapa, nilipost thread ya kuja dar
Sina namna nakuja Dar
Sasa Dar nilifika salama, nimehustle mpaka nimepanga chumba maeneo ya uswahilini kidogo...
Mafia nimekutana na changamoto ya Ulawiti na Ubakaji. Katika wilaya zote ambazo nimehudumu sijawahi kukutana na changamoto kubwa ya Ulawiti na Ubakaji kama ambavyo ipo Mafia.
Mwalimu mwingine wa...
Nimetoa mchango wangu wa mawazo kwa kadri nilivyobarikiwa kupitia akaunti. Nimekuwa mwana JF mtiifu wa sheria lakini nimebainishwa kwamba niwe makini na walimwengu.
Walionipa taadhari ni watu...
Hii ni orodha tukufu ya watanzania wenye umri chini ya miaka 50 walioweza kufanya mapinduzi makubwa kupitia jinsi walivyojaliwa na muumba.
1. ZITTO KABWE
Haina ubishi Zitto ndo aliamsha wengi...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.