Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nilichojifunza kuhusu Africa Kusini kwenye uchaguzi wao , ni yafuatayo: 1. Kwenye uchaguzi wao wameaangalia sera zaidi, sio vyama vya siasa au utumbuizaji wa wasanii kwenye majukwaa ya kampeni...
9 Reactions
23 Replies
388 Views
Nadhani Tanzania bado ni darasa na shule kuu ya kipekee mno ya demokrasia barani Africa. Ni nchi pekee ya wananchi wasiozingatia ukabila, ukanda wala rangi ya mtu kwenye uchaguzi. Shukrani za...
3 Reactions
93 Replies
1K Views
Mamlaka tunaomba mfuatilie habari hizi vinginevyo jamii yetu inaharibika. Ikumbukwe Ile Hoteli Iko jirani na makazi ya watawa wa Kanisa la RC ambako yanatolewa mafunzo na kulea watawa. Japo...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakuu hawa jamii ya watu inakaribia kupotea Africa?? Sasa je nini kinasababisha na wakati wao hawatumii uzazi wa mpango, wala hawachangamani na watu kifupi hawakubali maisha tunayoishi sisi jamii...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Watu wengi kwasasa wana matatizo mengi sana ya kiafya na wengine wametibiwa hospitali kwa muda mrefu bila mafanikio Hali hii imepelekea kuzuka watu wasiowaaminifu mtaani wakijitanabaisha kuwa na...
0 Reactions
1 Replies
6 Views
  • Sticky
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU GARI HII Wakuu rafiki yangu mmoja yupo interested na hizi gari aina ya Subaru Forester lakini kabla hajaingiza maamuzi mzima mzima alitaka kujua yote...
6 Reactions
420 Replies
178K Views
Nasumbuliwa na bawasili ya ndani Kwa miaka 4 nshakula Kila aina ya dawa naombeni dawa ya akika jamani
1 Reactions
5 Replies
72 Views
Habari za humu jf Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa Sifa zangu Trible:Chagga Elim Diploma Kazi: Biashara ndogondogo Dini:Mkristo Lutheran(KKKT) Sina mtoto wala...
19 Reactions
90 Replies
1K Views
Urusi imeishutumu Nato na Marekani kwa "kuchochea kiwango kipya cha mvutano" baada ya Marekani na Ujerumani kuwa washirika wa hivi punde kuruhusu jeshi la Ukraine kutumia silaha zinazotolewa na...
10 Reactions
39 Replies
2K Views
Uzi huu sio tuhuma au tetesi, ni uhalisia wenye shahidi / evidence za kutosha Kwa lugha nyepesi, Ni kwanini nchi ikijaa wakristo huwa kuna uhuru wa kiimani kwa waislam lakini ikiwa kinyume...
38 Reactions
508 Replies
14K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,547
Posts
49,778,959
Back
Top Bottom