Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimetoa mchango wangu wa mawazo kwa kadri nilivyobarikiwa kupitia akaunti. Nimekuwa mwana JF mtiifu wa sheria lakini nimebainishwa kwamba niwe makini na walimwengu. Walionipa taadhari ni watu...
14 Reactions
68 Replies
625 Views
Ikumbuke wilaya hii sehemu kubwa ilikuwa mkoa wa Kagera Wilaya ya Biharamulo, pia sehemu ya mkoa wa Mwanza wilaya ya Geita, namaanisha maeneo ya kata ya Buseresere na Rumasa. Back to the point...
1 Reactions
5 Replies
296 Views
Habari wanajamvi Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
6 Reactions
107 Replies
1K Views
Habari za humu jf Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa Sifa zangu Trible:Chagga Elim Diploma Kazi: Biashara ndogondogo Dini:Mkristo Lutheran(KKKT) Sina mtoto wala...
19 Reactions
88 Replies
1K Views
Wakuu kama ni usafi huwa najisugua hadi damu, hadi majeraha, kama ni boxa ninazo zaidi ya 10, usafi nazinagtia. Naombeni msaada kama una dawa au unafahamu dawa, Hapa chini nimeambatanisha dawa...
0 Reactions
22 Replies
284 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
521K Replies
30M Views
Naomba msaada kuunganishwa na kazi ya porter kupanda mlima Kilimanjaro
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
2 Reactions
126 Replies
2K Views
Nilichojifunza kuhusu Africa Kusini kwenye uchaguzi wao , ni yafuatayo: 1. Kwenye uchaguzi wao wameaangalia sera zaidi, sio vyama vya siasa au utumbuizaji wa wasanii kwenye majukwaa ya kampeni...
8 Reactions
21 Replies
320 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,540
Posts
49,778,848
Back
Top Bottom