Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Morning members. Kuna hali nisiyoielewa siku za hivi karibuni kwa wasichana wengi kula nauli halafu hawaendi. Malalamiko ni mengi watuma nauli wanalalamika nauli zao kuliwa bila kuona midoli...
13 Reactions
135 Replies
2K Views
Nahitaji ALU za watu wazima kwa bei ya jumla! Mwenye nazo tuwasiliane 0687391885
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Dua la kuku halimpati mwewe,ndivyo unaweza izungimzia baada ya kuangumia kwenye Kombe la shirikisho ambako nako itakutana na Vigogo walishindwa kufuzu Club Bingwa Africa. Simba iniandae na Wydad...
4 Reactions
26 Replies
821 Views
Asilimia zaidi ya nusu ya muda wangu natumia kukaa na walevi kila siku na zaidi ya asilimia 90 ya marafiki zangu ni walevi wa pombe za viwandani na hata za asili. Nilichokigundua kwetu sisi...
5 Reactions
19 Replies
118 Views
Habari zenu nina shida ya mafundi ujenzi wa kuzungushia nyumba yangu ukuta! Nipo Korogwe maeneo ya mji mpya!
0 Reactions
2 Replies
5 Views
Tangu kung'olewa kwenye kiti cha Uspika wa Bunge, mbunge wa jimbo la Kongwa Job Ndugai hachangiagi chochote bungeni wala kuwasemea wananchi wake wa Kongwa! Hotuba mbalimbali za bajeti kuu ya...
19 Reactions
118 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia...
11 Reactions
96 Replies
576 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
521K Replies
30M Views
Huyu ndugu alikuwa mpole tu ila alipofika kidato cha tatu akawa haendi sana shule ikawa anashinda sana kwenye nyumba ya ibada Baadae akaacha kabisa shule kwa kusema anaingia kujifunza mambo ya...
11 Reactions
32 Replies
939 Views
Salaam, Shalom!! Ndugu Respis Brasius mkazi wa Unga Limited ameahirisha kujitoa uhai wake baada ya kuvutiwa na hotuba ya ndugu Jerry Slaa aliyoitoa Bungeni kuhusu utatuzi wa migogoro ya Ardhi...
0 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,513
Posts
49,777,718
Back
Top Bottom