Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye...
14 Reactions
509 Replies
9K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
https://www.jamiiforums.com/threads/special-thread-mgogoro-kati-ya-urusi-na-nato.2219173/
0 Reactions
1 Replies
165 Views
Waziri mkuu wa Israel hapana shaka ataingia kwenye rekodi za dunia kama mtu aliyeleta mateso makubwa si kwa wapalestina peke yao bali kwa dunia yote.Tayari ameshampiku Hitler na wengine waliotajwa...
2 Reactions
65 Replies
913 Views
Nitakua mtu wa mwisho kukubaliana na wote wanaosema uwanja wa New Amani stadium ni uwanja bora kuanzia kwenye pitch hadi setting kuanza na taa mpaka kwenye billboards kuzunguka uwanja kama hakuna...
2 Reactions
12 Replies
214 Views
Siku zangu za kupata hedhi kila mwezi,ni kila tarehe mbili imebadilika sana hedhi yangu, naweza nikapata tarehe moja na huwa naenda siku tano tu. Sasa basi, mwezi ulopita,yaani mwezi wa tatu...
14 Reactions
76 Replies
2K Views
Karibu uwezeshwe na huduma ya SME Kutoka Airtel kwa Tshs 5000 na hii ni baada ya kazi. Inabidi uwe na laini ya Airtel ambayo haijawahi kuwezeshwa na hii huduma lakini pia isiwe na huduma ya lipa...
3 Reactions
28 Replies
514 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
221K Replies
17M Views
Tukiacha uchawa tujiulize tusiwe tunashabikia vitu tu kama misukule? Airport zote za KIA na Zanzibar zinategemea watalii. Sasa ni kwanini kama kuna sababu tuambiwe tunasikia airport ya KIA...
2 Reactions
8 Replies
82 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
521K Replies
30M Views

FORUM STATS

Threads
1,859,605
Posts
49,780,787
Back
Top Bottom