Morning members.
Kuna hali nisiyoielewa siku za hivi karibuni kwa wasichana wengi kula nauli halafu hawaendi.
Malalamiko ni mengi watuma nauli wanalalamika nauli zao kuliwa bila kuona midoli...
Habari wanajamvi
Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu
Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
Huu ni ushuhuda wa kweli. Kuna mwanaume amepata ushindi mahakamani dhidi ya gumegume, ambao inabidi tushirikishane hapa ili wanaume msiogope kuwafukuza wajasiriaNDOA a.k.a "makupe"au magumegume...
Nawashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa nchi ilikujenga Bunge lenye checks & balance lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya Michango yao Bungeni.
CHADEMA.
====
CHADEMA msiweke...
Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu.
Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao...
Achana na mbio za kiatu za Fei na Aziz Kila mwanasoka msimu huu ameshuhudia pazia jeusi likifunika soka la tz ambapo nyumba ya vipaji kwa soka la Tanzania ikianguka
Kila mtu mtu ukimuuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.