Ndugu zangu Watanzania,
Nimeendelea kumfuatilia na kufuatilia mahojiano mbalimbali ambayo amekuwa akifanya na ambayo amefanya kupitia vyombo vya habari kuelezea mambo mbalimbali kuanzia uchumi...
Mimi nina maswali kuhusu Jamii forum nataka kufahamu mawasiliano yetu in essence of PM je huwa ni End to end encrypted? Sababu kunawadau washalalamika kuhusu kujikuta watu watatu PM [emoji1787]
Kutokana na ukuaji wa mjiji na majiji, wafanyakazi wengi wanaishi (kujenga makazi au kupanga) maeneo ya mbali kidogo (zaidi ya kilomita kumi) kutoka maeneo wanayofanyia kazi hali inayowalazimu...
===
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu na mashaka Watanzania kwani Serikali yao ya awamu sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan ina nia na dhamira njema dhidi...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Salaam, Shalom!
Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini,
Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini,
Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za...
Wengi wameoneshwa masikitiko na Rais huyu ambaye haoneshi u serious kazini anazurula tu huku na kule na mambo yaso na tija kwa Taifa
Unaenda Korea badala ya kukutana na wataalamu wa...
Wakuu kama ni usafi huwa najisugua hadi damu, hadi majeraha, kama ni boxa ninazo zaidi ya 10, usafi nazinagtia.
Naombeni msaada kama una dawa au unafahamu dawa,
Hapa chini nimeambatanisha dawa...
Adani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd.
Mkataba huo wa miaka 30...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.