Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hivi kwa nini asilimia kubwa ya viongozi Wanawake wakubwa serikalini na taasisi zake wengi hawana waume Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasiooleea au? Huu ni ubaguzi wa wazi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Baadhi ya maeneo ya Kinondoni Kaskazini yamekosa umeme toka saa tatu asubuhi mpaka ninapotuma huu uzi hivi sasa. Je! Kuna changamoto yoyote ile iliyojitokeza, na pengine imekwisha kutolewa taarifa...
1 Reactions
5 Replies
40 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
521K Replies
30M Views
Kuna namba yangu ya simu nilikuwa siitumii for almost 3 years kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Baadae nikagundua ile namba amepewa mteja mwingine. Just imagine nimeitumia namba ile for...
1 Reactions
20 Replies
339 Views
Mwenye kufahamu naomba anifahamishe hivi kwanini wanasheria mnaitana wakili msomi 🤔 kwani kuna mawakili sio wasomi ?
15 Reactions
111 Replies
2K Views
Huyu ndugu alikuwa mpole tu ila alipofika kidato cha tatu akawa haendi sana shule ikawa anashinda sana kwenye nyumba ya ibada Baadae akaacha kabisa shule kwa kusema anaingia kujifunza mambo ya...
11 Reactions
30 Replies
848 Views
Habari wanajamvi Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
6 Reactions
79 Replies
843 Views
Salaam, Shalom! Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini, Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini, Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za...
4 Reactions
63 Replies
846 Views
Adani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd. Mkataba huo wa miaka 30...
7 Reactions
140 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,473
Posts
49,776,690
Back
Top Bottom