Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Mwenye kufahamu naomba anifahamishe hivi kwanini wanasheria mnaitana wakili msomi 🤔 kwani kuna mawakili sio wasomi ?
12 Reactions
98 Replies
1K Views
Bila shaka mko poa wana jukwaa na wale mabingwa wanaendaelea kusherekea ubingwa wao.HALAA MADRID. Moja kwa moya kwenye mada, wakuu nina rafiki angu kaoa mwana mke kahitimu chuo huko daslam miaka...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Jaribu kufanyia Utafiti utaelewa Hata Nchi ya jirani ya Zanzibar ni mfano mzuri Rais akiwa mwislamu basi Vijana wao huwa na fursa ya kuingia madarakani tofauti na Wagalatia Nadhani huu ni...
9 Reactions
26 Replies
490 Views
Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana. Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye...
19 Reactions
309 Replies
5K Views
Nawashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa nchi ilikujenga Bunge lenye checks & balance lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya Michango yao Bungeni. CHADEMA. ==== CHADEMA msiweke...
3 Reactions
50 Replies
1K Views
Achana na mbio za kiatu za Fei na Aziz Kila mwanasoka msimu huu ameshuhudia pazia jeusi likifunika soka la tz ambapo nyumba ya vipaji kwa soka la Tanzania ikianguka Kila mtu mtu ukimuuliza...
2 Reactions
2 Replies
67 Views
Baada ya kutafakari na kuwaza nimeona niwaage mapema ili msinekusema kifo changu kimekuwa ghafla mno hapana mi ninawaaga kwaherini. Kuliko kuishi nchi ya villaza namna hii kwamba hawaoni mama...
29 Reactions
76 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,459
Posts
49,775,996
Back
Top Bottom