Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mume wangu anataka kusafiri likizo njee za nchi likizo Nina umia Sina imani na Safar yake anadai amepata mualiko toka kwa watu Walio mfadhiri masomo shule
8 Reactions
42 Replies
566 Views
Habari wakuu. Kwa wakazi na wenyeji wa Iringa, naomba kufahamishwa vivutio au sehemu ambazo zinavutia nje ya mji ambazo itakuwa day trip...namaanisha nitakwenda na kurudi kulala mjini...
4 Reactions
156 Replies
810 Views
Hali halisi ya Mtaani wa Msimbazi B Kariakoo Kwa hali hii watu tutaacha kupata magonjwa ya tumbo, kuhara au hata kipindupindu? Uongozi wa Soko hauoni hii hali na kushughulikia?
3 Reactions
11 Replies
149 Views
Kama una bando la kutosha, anza mdogo mdogo. Futa ambazo tayari. Halloween Halloween 2 Halloween 3 Halloween 4 Halloween 5 Halloween: The Curse of Michael Myers Halloween H20 Halloween...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndio kwanza nipo Episode ya 5 kati ya 10. Ila hii series kali. Kupewa rate ya 8.7/10 haki yake.
1 Reactions
4 Replies
19 Views
Mwenye kufahamu naomba anifahamishe hivi kwanini wanasheria mnaitana wakili msomi 🤔 kwani kuna mawakili sio wasomi ?
16 Reactions
129 Replies
2K Views
Inasikitisha kwa kweli kwa kiongozi wa dini kufanya uchafu huu.
5 Reactions
25 Replies
205 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama mnavyofahamu kuwa msafara wa katibu mkuu wa CCM na sekretarieti yake Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ametua na kuingia katika Jiji la Arusha lililo chini ya...
3 Reactions
18 Replies
130 Views
1.Reginald Mengi (media) 2.Bakhresa (food industry) 3.Getrude Rwakatare(private schools) 4.Samia Suluhu (leadership) 5.Benjamin Mkapa (privatization) 6.Mbwana Samata (football) 7.Ruth Zaipuna...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakuu nilikuwa naomba kujua kiundani juu ya kozi hii ya electrical and biomedical engineering. Je, unaposoma cozi hiyo utajishughulisha na ufundi wa vifaa vya tiba au na umeme kwa ujumla. Ahsanteni
2 Reactions
9 Replies
160 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,521
Posts
49,778,116
Back
Top Bottom