Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nawashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa nchi ilikujenga Bunge lenye checks & balance lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya Michango yao Bungeni. CHADEMA. ==== CHADEMA msiweke...
3 Reactions
45 Replies
1K Views
Tangu kung'olewa kwenye kiti cha Uspika wa Bunge, mbunge wa jimbo la Kongwa Job Ndugai hachangiagi chochote bungeni wala kuwasemea wananchi wake wa Kongwa! Hotuba mbalimbali za bajeti kuu ya...
18 Reactions
106 Replies
3K Views
Morning members. Kuna hali nisiyoielewa siku za hivi karibuni kwa wasichana wengi kula nauli halafu hawaendi. Malalamiko ni mengi watuma nauli wanalalamika nauli zao kuliwa bila kuona midoli...
9 Reactions
87 Replies
991 Views
Jana nilienda kutazama fainal uefa pale kuku kuku. Fainali ikiendelea na mimi niliendelea kuburudika, bill ikaja hii. Anyway tutafute pesa kwa kasi sana
13 Reactions
47 Replies
840 Views
Waziri wa Fedha Bezalel Smotrich na Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir wametishia kujiuzulu na kuvunja serikali iwapo Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu atakubali pendekezo la kusitisha...
1 Reactions
16 Replies
471 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia...
7 Reactions
65 Replies
348 Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu, Gazeti la Nipashe ya Leo. Makala ya leo ni kutoa shukrani na Asante kwa Rais Samia kwa Sheria Mpya ya Uchaguzi, ila Haki ya Watanzania Kuchagua, na Kuchaguliwa...
2 Reactions
8 Replies
103 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
221K Replies
17M Views
Majira ya saa 6 za mchana (sawa na saa 10 jioni Indonesia), vijana wa Taifa Stars watamenyana na timu ya Taifa ya Indonesia katika mechi ya kirafiki. Uwanja ni ule ule GBK Madya Stadium (Gelora...
4 Reactions
25 Replies
211 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,457
Posts
49,775,914
Back
Top Bottom