Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB
Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye...
Nimejaribu kupitia kumbukumbu zake mbalimbali mitandaoni na magazetini tangu akiwa mwanasheria wa Mazingira hadi Siasani NCCR na sasa Chadema kiukweli sijakuta Uwongo wa huyu Mwamba
Ni nadra sana...
Wakuu hawa jamii ya watu inakaribia kupotea Africa?
Sasa je nini kinasababisha na wakati wao hawatumii uzazi wa mpango, wala hawachangamani na watu kifupi hawakubali maisha tunayoishi sisi jamii...
Helloe, Mimi ni msichana Nina miaka 27,elimu yangu Diploma natafuta kazi idara ya afya "clinical officer" nipo mkoa wa Ruvuma, kwa mawasiliano naomba kuni DM.Asanteni niwatakie kazi njema kwenye...
Niliachana na baba mtoto wangu, akapata mke mwingine na ana mtoto saizi kwa uyo mke wake,lakini kila akikutana na Mimi anataka tuendelee Kusex tu alafu tukimaliza ananipa p2.
Safari hii nimeamua...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Siku zangu za kupata hedhi kila mwezi,ni kila tarehe mbili imebadilika sana hedhi yangu, naweza nikapata tarehe moja na huwa naenda siku tano tu.
Sasa basi, mwezi ulopita,yaani mwezi wa tatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.