Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

nadhani Tanzania bado ni darasa na shule kuu ya kipekee mno ya demokrasia barani Africa. Ni nchi pekee ya wananchi wasiozingatia ukabila, ukanda wala rangi ya mtu kwenye uchaguzi. Shukrani za...
3 Reactions
54 Replies
555 Views
Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter? Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa...
36 Reactions
114 Replies
2K Views
Inasikitisha kwa kweli kwa kiongozi wa dini kufanya uchafu huu.
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Wengi wameoneshwa masikitiko na Rais huyu ambaye haoneshi u serious kazini anazurula tu huku na kule na mambo yaso na tija kwa Taifa Unaenda Korea badala ya kukutana na wataalamu wa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mwalimu wangu aliwahi kuniambia hata mvua inyeshe vipi, lazima ipo siku itakatika tu. Nami leo nasema hakuna marefu yasiyo na ncha. Mimi Intelligent businessman kwa muda mfupi niliokuwa humu...
30 Reactions
219 Replies
10K Views
1: Sos B - Kukuru kakara. sijui kwa nini Sos B akuendelea na rap. Mwamba alikoa mmoja ya wasanii wa mwanzoni kabisa kutoa nyimbo za rap Tanzania. 2: Picko - Kikongwe 3: JI -Kidato kimoja 4...
5 Reactions
80 Replies
1K Views
Salaam, Shalom! Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini, Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini, Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za...
6 Reactions
95 Replies
1K Views
Wale wakongwe walio anza kutumia computer na operating system za Ms DOS, Windows 95, Windows 98 na kabla ya hapo njoo tupe historia yako ulijifunzia wapi computer. Nini au tukio gani...
10 Reactions
112 Replies
2K Views
Kwa sasa soni hamna iwe kwa watu wazima hata watoto wote tupo kundi moja, kituo cha redio sijui Televisheni kina ruhusu soga kama hii ikijua kabisa haya matangazo yanaruka live na yatafikia watu...
5 Reactions
12 Replies
163 Views
Habari wakuu. Kwa wakazi na wenyeji wa Iringa, naomba kufahamishwa vivutio au sehemu ambazo zinavutia nje ya mji ambazo itakuwa day trip...namaanisha nitakwenda na kurudi kulala mjini...
4 Reactions
130 Replies
615 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,516
Posts
49,777,911
Back
Top Bottom