Salaam, Shalom!
Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini,
Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini,
Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za...
Dua la kuku halimpati mwewe,ndivyo unaweza izungimzia baada ya kuangumia kwenye Kombe la shirikisho ambako nako itakutana na Vigogo walishindwa kufuzu Club Bingwa Africa.
Simba iniandae na Wydad...
nadhani Tanzania bado ni darasa na shule kuu ya kipekee mno ya demokrasia barani Africa. Ni nchi pekee ya wananchi wasiozingatia ukabila, ukanda wala rangi ya mtu kwenye uchaguzi.
Shukrani za...
Full name: Chelsea Football Club
Nickname(s): The Blues, The Pensioners
Founded: 10 March 1905
League: Premier League
Website: ChelseaFC.com
Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
Asilimia zaidi ya nusu ya muda wangu natumia kukaa na walevi kila siku na zaidi ya asilimia 90 ya marafiki zangu ni walevi wa pombe za viwandani na hata za asili.
Nilichokigundua kwetu sisi...
Habarini,
Nimeona haszu akipondwa na wanaume wa jf kwa kujiita "handsome" wengine wakimtuhumu kuwa ni shoga etc.
Ingawa ni kweli baadhi ya wanaume handsome ni mashoga, lakini haimaanishi kwamba...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Chama cha African National Congress (ANC) kimepoteza wingi wake wa wabunge katika matokeo ya kihistoria ya uchaguzi ambayo yanaiweka Afrika Kusini kwenye mkondo mpya wa kisiasa kwa mara ya kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.