Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hivi kwa nini asilimia kubwa ya viongozi Wanawake wakubwa serikalini na taasisi zake wengi hawana waume Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasiooleea au? Huu ni ubaguzi wa wazi...
8 Reactions
56 Replies
966 Views
Inasikitisha kwa kweli kwa kiongozi wa dini kufanya uchafu huu.
5 Reactions
47 Replies
379 Views
Nimetoa mchango wangu wa mawazo kwa kadri nilivyobarikiwa kupitia akaunti. Nimekuwa mwana JF mtiifu wa sheria lakini nimebainishwa kwamba niwe makini na walimwengu. Walionipa taadhari ni watu...
10 Reactions
18 Replies
220 Views
Nawashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa nchi ilikujenga Bunge lenye checks & balance lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya Michango yao Bungeni. CHADEMA. ==== CHADEMA msiweke...
5 Reactions
75 Replies
1K Views
Mamlaka tunaomba mfuatilie habari hizi vinginevyo jamii yetu inaharibika. Ikumbukwe Ile Hoteli Iko jirani na makazi ya watawa wa Kanisa la RC ambako yanatolewa mafunzo na kulea watawa. Japo...
5 Reactions
38 Replies
1K Views
Nadhani Tanzania bado ni darasa na shule kuu ya kipekee mno ya demokrasia barani Africa. Ni nchi pekee ya wananchi wasiozingatia ukabila, ukanda wala rangi ya mtu kwenye uchaguzi. Shukrani za...
3 Reactions
80 Replies
836 Views
Baadhi ya maeneo ya Kinondoni Kaskazini yamekosa umeme toka saa tatu asubuhi mpaka ninapotuma huu uzi hivi sasa. Je! Kuna changamoto yoyote ile iliyojitokeza, na pengine imekwisha kutolewa taarifa...
3 Reactions
36 Replies
329 Views
Habari za wakati huu wakuu. Mwezi wa 8 tunategemea kuhamia kwenye makazi mapya maeneo ya Viwege msikitini. Nina wadogozangu wawili ambao mmoja yupo shule ya msingi na mwingine kidato cha tatu...
0 Reactions
12 Replies
91 Views
Juzi kati nilienda kuwataarifu kuhusu tatizo kwenye lain yangu. Cha ajabu meneja wakati natoa maelezo ya kwa Kama dakika moja hivi ghafla anapokea sim anaongea na msela wake na kunipotezea bila...
3 Reactions
3 Replies
11 Views
Mbinu hizi zinapunguza utapeli sio full proof guarantee, kila muda zinagunduliwa mpya Hapa niameorodhesha baadhi ya tahadhari za kuchukua ili kuliepuka hilo:- 01. Usiwe na haraka kwenye kufanya...
11 Reactions
7 Replies
410 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,530
Posts
49,778,384
Back
Top Bottom