Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamuwa waumini michango hadi wanachukia dini.Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena...
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo.
Mzee anasema hivi wanaume wameisha...
Nipo mkoani kikazi kuna ki apartment nimelipia mimi na mwenzangu mwezi japo kazi ni ya wiki 2 tu,
tumeishi wiki moja bila tatizo ila kuanzia usiku wa juzi kulikuwa na shida, ni kama kuna ndoo...
Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB
Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye...
Niende direct kwenye Mada..leo nimeona mtu analalamika amejulikana na watu wamemfata na ametoa rushwa ...kama sio rushwa angedhurika..!
Hii sio sawa ...lkn hakuna mod kamjibu au kiongozi..najua...
Habarini,
Nimeona haszu akipondwa na wanaume wa jf kwa kujiita "handsome" wengine wakimtuhumu kuwa ni shoga etc.
Ingawa ni kweli baadhi ya wanaume handsome ni mashoga, lakini haimaanishi kwamba...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, anaendelea na ziara yake ya kuelimisha wananchi huko Iramba, leo ilikuwa zamu ya Kijiji cha Kyalosangi, Kata ya Kinampanda, Iramba Magharibi.
Pamoja na...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Habari wakuu
Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam
Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.