Mamlaka tunaomba mfuatilie habari hizi vinginevyo jamii yetu inaharibika.
Ikumbukwe Ile ni Hoteli ya Kanisa la RC na Iko kwenye eneo la kabisa na la kutolea mafunzo na kulea watawa.
Japo mambo...
Habari za asubuhi wote humu.
Nimewaza kitu hii kama itawezekana tukutane sehemu maalum kama vile Mkapa stadium au hoteli kali ama popote atakaporatibu.
Lengo tujuane laivu kwa sura lakini siku...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amejikuta akitokwa na machozi wakati akimsikiliza Makazi wa jijini Arusha ajulikanae kwa jina la Respis Brasius ambaye amekiri...
With 99.03% of votes counted, ANC is at 40.3%. It has lost parliamental majority.
ANC wanaona aibu kuwafuata DA (wazungu) kuwaomba kufanya coalition. Ni kama wanarudisha kwa mkoloni kuwa mambo...
Wana JF naomba mwenye taarifa za taratibu za kusajili kampuni ya madini pale nyumbani Tanzania anisaidie.
Natanguliza shukrani zangu.
BAADHI YA MAJIBU YALIYOTOLEWA NA WADAU:
UTANGULIZI
Kuanzia...
Habarini,
Samahihi natafuta mtu binafsi wa kunifundisha kutengeneza sabuni za maji aina zote Shampoo's na vitu kama hivyo Gharama za ukufunzi tutaelewa.
Jaribu kufanyia Utafiti utaelewa Hata Nchi ya jirani ya Zanzibar ni mfano mzuri
Rais akiwa mwislamu basi Vijana wao huwa na fursa ya kuingia madarakani tofauti na Wagalatia
Nadhani huu ni...
Tangu kung'olewa kwenye kiti cha Uspika wa Bunge, mbunge wa jimbo la Kongwa Job Ndugai hachangiagi chochote bungeni wala kuwasemea wananchi wake wa Kongwa!
Hotuba mbalimbali za bajeti kuu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.