Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
43 Reactions
52K Replies
3M Views
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga. Mwanadada huyo na kigogo wapo katika penzi la...
42 Reactions
281 Replies
6K Views
Kwema wakuu, Kama mada inavojieleza. Wakuu kuna mke wa jiran yangu nashindwa kumuelewa, alisafiri miezi miwili iliyopita sasa karudi kama siku tatu zilizopita sasa kanivizia nipo peke yangu...
13 Reactions
54 Replies
1K Views
Huyu ndugu alikuwa mpole tu ila alipofika kidato cha tatu akawa haendi sana shule ikawa anashinda sana kwenye nyumba ya ibada Baadae akaacha kabisa shule kwa kusema anaingia kujifunza mambo ya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Morning members. Kuna hali nisiyoielewa siku za hivi karibuni kwa wasichana wengi kula nauli halafu hawaendi. Malalamiko ni mengi watuma nauli wanalalamika nauli zao kuliwa bila kuona midoli...
8 Reactions
62 Replies
720 Views
Endapo yanga watachagua team nzuri ya watu wakazungusha haya makombe mawili NBC na Crdb kuanzia dar hadi kigoma na Rukwa na kutoa offer ya Kila shabiki kupiga picha na kombe kwa sh.2000=1000 KILA...
4 Reactions
27 Replies
122 Views
Mamlaka tunaomba mfuatilie habari hizi vinginevyo jamii yetu inaharibika. Ikumbukwe Ile Hoteli Iko jirani na makazi ya watawa wa Kanisa la RC ambako yanatolewa mafunzo na kulea watawa. Japo...
5 Reactions
29 Replies
549 Views
Kijana wangu kamaliza form four Mwaka jana 2023. Kafanya vizuri Masomo yake yote ana div one B 6 na C 1. Alikuwa ana chukua Masomo ya science. Kachaguliwa kwenda kusoma tahasusi ya PCB. Yeye...
5 Reactions
2 Replies
32 Views
Hili jiji la arusha ambalo linasifika kwa utalii na ambalo lina historia nzuri ya kutoa wasanii, waigizaji na watangazaji maarufu, sifa zake kwa nje ni nyingi na nzuri sana. Ila kwa uhalisia...
19 Reactions
134 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,425
Posts
49,774,859
Back
Top Bottom