Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu mambo vipi poleni na majukumu yankujenga taifa nawapenyezea hii wale wapenda magari na miendo Ile drag race iliyofanyika mwaka jana pale Nyerere bridge kigamboni inarudiwa tena hii ni season...
0 Reactions
27 Replies
105 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu ameanza ziara jimboni Iramba na kushangaa kukosekana Huduma za Maji Lissu anasema Mbunge wa Iramba ni Waziri wa Fedha lakini Jimbo lake halina Maji...
9 Reactions
41 Replies
1K Views
Shoga hilo la kizayuni kutoka taifa teule la Israel Benjamin Cohen ambaye ni founder wa "PinkNews"na mmewe Anthony James wameasili mtoto mchanga. Cc. wana wa israeli wa Tanzania. Kujeni hapa...
5 Reactions
50 Replies
767 Views
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
0 Reactions
31 Replies
245 Views
Habari za weekend wadau wa soka na wapenzi wa kandanda barani Africa na Tanzania kwa ujumla nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania:– Leo majira ya saa 4–usiku watakutana muamba ya...
2 Reactions
15 Replies
332 Views
Kwema wakuu, Kama mada inavojieleza. Wakuu kuna mke wa jiran yangu nashindwa kumuelewa, alisafiri miezi miwili iliyopita sasa karudi kama siku tatu zilizopita sasa kanivizia nipo peke yangu...
9 Reactions
51 Replies
1K Views
Kilichotokea Kenya kikaua KANu kinakwenda kutokea Afrika Kusini. ANC imemeguka makundi kama ambavyo KANU ilimeguka kisha ikafa. Kifo cha KANU Kenya kilizalisha mapinduzi makubwa kisiasa na...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Hili ni ombi langu kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania(TCRA) Pia nimeona vyema kuleta hapa JF ili kupata maoni na ushauri kutoka kwa wadau mbalimbali...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Habari zenu, nilikua napenda kupata ufafanuzi kwenye hizo courses kwasababu mpka sasa hvi bado nawaza ipi ni course nzuri zaidi kuliko nyingine na inafurusa Pana katika jamii na Unayo weza...
2 Reactions
5 Replies
84 Views
Ballspielverein Borussia 09 e. V. Dortmund, commonly known as Borussia Dortmund [boˈʁʊsi̯aː ˈdɔɐ̯tmʊnt],[2] BVB, Full name Ballspielverein Borussia 09 e. V. Dortmund Nickname(s) Die...
3 Reactions
284 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,331
Posts
49,772,259
Back
Top Bottom