Muda mchache ujao, saa 4:00 Dortumd watamenyana na Real Madrid katika dimba la Wembley pale London.
Ni fainal ya Uefa Champions League, karata yako unampa nani? Twende kazi…
Adani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd.
Mkataba huo wa miaka 30...
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
Hili suala liko wazi kabisa.
100% ya wauza mikaa hawana changamoto ya kuibiwa hela kwa jini wa chuma ulete.
Pesa zote za mauzo zinarushwa kwenye kindoo cha mkaa😅😅 mkaa ambao ndio ume combine...
Tupeane and mbinu za kuanzisha viwanda vidogodogo, kama vya pipi, biscuit, sabuni za kioande, ungrateful, maji, kiwanda cha tooth sticks, plastic materials-viti, mesa.etc, fish filet...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hawa ni wananchi wapo bonde la Jangwani karibu na club ya Yanga. Wengine wana hati wengine wana ofa.
Wote hao maeneo yao yanatwaliwa kwa ajili ya mradi wa uendelezaji wa Bonde hilo. Tafadhali...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu ameanza ziara jimboni Iramba na kushangaa kukosekana Huduma za Maji
Lissu anasema Mbunge wa Iramba ni Waziri wa Fedha lakini Jimbo lake halina Maji...
Hii nimepenyezewa jioni hii, na mdau wangu wa muhimu sana.
Wahusika wote waiotajwa kwenye report ya CAG mwaka huu wamesamehewa na Mh Raisi hii ni baada ya kamati ya kuwaombea msamaha kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.