Wakuu habari,
Chama cha Umokhonto We Sizwe (MK) chini ya kiongozi wake na aliye kuwa raisi wa zamani Jacob Zuma wamejizolea asilimia 13 ya wabunge wote mpaka sasa wamesha hesabu 80% ya wilaya...
Wadau kwa mara nyengine tena jana tarehe mosi ya mwezi June 2024, kampuni ya DSTV inayomiliki haki ya kipekee ya kuonyesha matangazo ya moja ya mashindano ya ligi barani ulaya ,na khususan...
Naona watu hawajanielewa! ndio sababu ya ku edit post.
swali langu la msingi ni kwamba nataka kujua, kwa mtaji wa Tshs 100M.
Je naweza pata “Discount” kiasi gani? nataka kusikia makisio tu na...
TK movement ni vuguvugu lililoanzishwa hivi karibuni likiwa na lengo kuu la kuwaleta pamoja vijana ili kuwajengea fikra za kimapinduzi.
Hatahivyo baadhi ya wanasiasa na wana habari wamekuwa...
Wakuu, natumai hamjambo,
Kwa upande wangu hali si shwar, ninaumwa hapa nilipo na ninaish mwenyewe.
Aisee leo nimetamani ningekuwa nimeoa hakuna kitu nimefanya nimelala toka asubuh chumba...
Ushawahi sikua watu wanaitwa "resentful" ? Hawa ni watu ambao kuna vitu hawana, wengine wanavyo, wao wanaamini wangepaswa kua navyo, sasa matokeo yake wanakua na chuki na husda.
Ni lazima...
Huu ni mkweli mchungu sana kwetu wanaume. Mwanamke wako unayemuona kwamba ni mtiifu na mwadilifu, ana kijamaa Fulani hivi huenda hata sio Cha level yako, kinamgonga tu kimasihara.
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
Tangu kung'olewa kwenye kiti cha Uspika wa Bunge, mbunge wa jimbo la Kongwa Job Ndugai hachangiagi chochote bungeni wala kuwasemea wananchi wake wa Kongwa!
Hotuba mbalimbali za bajeti kuu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.