Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimelala during the daytime,baada ya breakfast leo,nimelala,nimeota ndoto. Katika hiyo ndoto mimi ni monk,nipo darasani na monks wengine,tunamsikiliza mwalimu wa monks. Halafu mini nimeondoka...
1 Reactions
1 Replies
21 Views
Habari wana jamii forums [emoji1366] Let’s chat for fun boys and girls ukiulizwa muda mda huu body count yako inasoma ngapi utakuwa na kumbukumbu boys au girls wangapi umelala nao mpka sasa? For...
3 Reactions
8 Replies
203 Views
Sio kwamba tunaongea au kuombea mabaya la hasha. Tunajaribu kuangalia hali halisi! Mpaka kufikia leo katika bureu de change dola moja inanunuliwa kwa 2660Tsh. Hii rate inapanda kila siku kwa kasi...
28 Reactions
150 Replies
3K Views
Itakumbukwa simba ndio walipeleka kibegi mlima kilimanjaro, walifika hadi kileleni, sisi tunaojua mambo haya tuliamini kabisa kuwa mwaka huu ulikuwa wetu, yalikuwa masharti ya mtalaamu wetu kuwa...
5 Reactions
15 Replies
490 Views
Wakuu habari za mishe nimefungua huu uzi ili kuhakikisha kuwa pamoja na uwepo wa vifaa vya apple(ambavyo vina gharama kubwa na watumiaji wake wanajiona sana)pia na vifaa vinavyotumia OS zingine...
0 Reactions
4 Replies
21 Views
Habari, Nauza simu samsung galaxy A21s. RAM :4GB Storage: 64GB Battery: 5000mAh Location: Dar Bei: 200k Tzs Iko vizuri unakaribishwa kuja kuikagua for your convinience. 0759007696 (call/WhatsApp)
0 Reactions
1 Replies
38 Views
Ndinga Hilo Gari ipo vizuri sana Gari ya mwaka 2022. PRICE/BEI: 122M EXCHANGE/NAVUNJA NA GARI YOYOTE✅ FORD RANGER STORM TRACK 🛻 Year:2022 Engine Capacity:2.0cc Engine: DIESEL TURBO Kilometer...
2 Reactions
18 Replies
519 Views
Uzi huu utaangazia kile kinachoendelea kuhusu mgogoro ulioibuka sasa wa NATO na Russia katika vita vya Ukraine. Ikumbukwe kuwa katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg, alitaka silaha za misaada kwa...
2 Reactions
5 Replies
85 Views
Ikiwa haujiwezi darasani utaambiwa huyu HANA AKILI lakini unashangaa mtu huyuhuyu anayeaminika kukosa akili darasani unakuta huko nje ya darasa ni msanii mzuri au ni mcheza mpira mzuri tena wa...
1 Reactions
13 Replies
123 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,370
Posts
49,772,958
Back
Top Bottom