Nimedownload apps nyingi nyingi kdg ambazo zimetengenezwa na developers wa tanzania, wengi naona wanadevelop for android, nahisi labda market kubwa iko huko bongo, iOS wameisahau kabisaa!!
Swali...
Mwalimu Julius Nyerere historia yake ni kubwa sana.
Walioandika maisha yake wameandika vitabu vitatu zaidi ya kurasa 1000.
Bahati mbaya sana kitabu hiki hakikuweka mengi ambayo yalihusu historia...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya...
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria – Busweru, Samweli Lunzebe kwa tuhuma za...
Wale wakongwe walio
anza kutumia computer na operating system za Ms DOS, Windows 95, Windows 98 na kabla ya hapo njoo tupe historia yako ulijifunzia wapi computer.
Nini au tukio gani...
Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu.
Wako wanaofurahia propaganda hizo.
Wako wanaoamini propaganda hizo.
Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo.
Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media...
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga.
Mwanadada huyo na kigogo wapo katika penzi la...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Kwema wakuu, kama mada inavojieleza. Wakuu kuna mke wa jiran yangu nashindwa kumuelewa, alisafir miezi miwili iliyopita sasa karudi kama siku tatu zilizopita sasa kanivizia nipo pekeangu anaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.