Kingine ni hiki, vilitumika vigezo gani kuwapata? na inawezekanaje baada ya muda mfupi tu tangu Rais kutamka Kuongozana na Wasanii kwenye Ziara zake na mambo yameanza hapo hapo?
Je tukisema...
Jamaa zetu Sauz Wana uchaguzi Mkuu mwakani (2024) maadam Ni Chama rafiki basi watumie mbinu za Chama Chetu kushinda;
1. Mchujo kupitia wajumbe,
2. Kupita bila kupingwa,
3. Kuzima internet (wakati...
My people how's weekend?
Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari.
Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya...
Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu.
Wako wanaofurahia propaganda hizo.
Wako wanaoamini propaganda hizo.
Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo.
Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media...
Nashangaa sana mtu agari yake Auto ila mkono hautoki kwenye gear handle ile,sasa kama una mzuka si uilipue uchkue kaz kazin manual, haya ma mazda cx5 yapo manual,honda fit anazo manual...
Kabla ya kuendelea, turejelee kauli aliyoitoa Colonel Lionel Dyck, mkurugenzi wa jeshi binafsi la DAG ambaye mkataba wake wa kutoa msaada wa anga pale Msumbiji ulitamatika tarehe 6, April 2021...
Wasalamu wakuu.
Kuna video naona inazunguka kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha mtu anayejiita baba levo akidhihaki na kuwafedhehesha walimu wetu wa Tanzania.
Maneno aliyozungumza kupitia...
Achila mbali IDs au avatar yake...
Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
Binafsi nimezaa na mwanamke mmoja mbaye ameajiliwa na Jeshi moja wapo miongoni mwa majeshi hapa nchini. Huyu mwanake amekuwa na nyodo sana kutokana na kazi yake anayoifanya!
Huyu mwanamke anaijua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.