Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salaam, Shalom!! Salamu hapo juu itoshe kukujulisha kuwa walengwa wa HOJA hapo juu ni Wana wa Mungu, ni wale ambao wanahangaika,wanafanya KAZI Kwa bidii, wanajitenga na UOVU, walipao ZAKA nk nk...
13 Reactions
31 Replies
465 Views
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga. Mwanadada huyo na kigogo wapo katika penzi la...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya...
15 Reactions
210 Replies
1K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, Wakuu.... wengi wetu hapa JF na nchini kwa ujumla, tunajua kwamba raisi wa JMT mh Samia S. Hassan anapambana usiku na mchana, ili kuhakikisha serikali yake inaleta...
11 Reactions
246 Replies
13K Views
CDE. Shemsa Mohammed Awapa Tsh. 4,000,000 (Bhagika) na Tsh. 4,000,000 (Bhagalu) Kwenye MBINA YA 30 (Ngoma ya Asili ya Kisukuma) SHEMSA MOHAMMED AMBAYE NI MLEZI WA TAMADUNI NA WAGANGA WA TIBA...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Ndugu wajumbe,ubora wa Vyuo Vikuu hupimwa Kwa Wingi wa tafiti na machapisho ya kitaalmu. Kwa mujibu wa taarifa ya jarida la masuala ya Elimu ya Juu,Limetaha Vyuo 10 Bora Barani Afrika Kusini mwa...
2 Reactions
14 Replies
194 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Nime notice kitu kutoka huko uraiani ni zaidi ya mara kumi nimeona wanaume wakiikataa mbogoa ya majani ya chainizi migahawani na hata mahotelini.. Watu kibao utasikia aaa chainizi toa situmiagi...
2 Reactions
1 Replies
2 Views
Habari za humu jf Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa Sifa zangu Trible:Chagga Elim Diploma Kazi: Biashara ndogondogo Dini:Mkristo Lutheran(KKKT) Sina mtoto wala...
11 Reactions
44 Replies
207 Views
My people how's weekend? Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari. Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya...
23 Reactions
129 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,244
Posts
49,769,202
Back
Top Bottom