Wataalam wa Biashara na Ujenzi, kuna faida gani kwenye Ushirika kwenye ujenzi JV (Joint Venture ) kwenye ujenzi wa jengo la biashara?
Juzi niliandika jengo linatafuta Mwekezaji kujenga au...
Shoga hilo la kizayuni kutoka taifa teule la Israel Benjamin Cohen ambaye ni founder wa "PinkNews"na mmewe Anthony James wameasili mtoto mchanga.
Cc. wana wa israeli wa Tanzania.
Kujeni hapa...
Msipokua Makini Kwenye Political econommy ya Nchi yetu hapa unaweza kujikuta kikatengezwa kikundi cha Watu ndio kinakula KODI ya Nchi hii, kikatengenezwa kikundi cha Watu ambacho ndio kina Bagaza...
Habari waungwana,
Leo ikiwa wenzetu huku kenya wapo kweny sikukuu ya Mdaraka ''Madaraka day '' , kiongozi mmoja huko Uganda ameachia video ya utupu mtandaoni akila raha duniani . Kiongozi huyu...
Nime notice kitu kutoka huko uraiani ni zaidi ya mara kumi nimeona wanaume wakiikataa mboga ya majani ya chainizi migahawani na hata mahotelini..
Watu kibao utasikia aaa chainizi toa situmiagi...
My people how's weekend?
Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari.
Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya...
Mfano mtu mlishatengana alafu UKa move on kuendelea na maisha lakini ukaanza Ku HEAL Ila sasa baada ya mda anakuwa anakutafuta tafuta utatumia MBINU GANI ILI aondoke kwenye maisha yako?
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga.
Mwanadada huyo na kigogo wapo katika penzi la...
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo.
Mzee anasema hivi wanaume wameisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.