Hongera waziri wa ardhi Jerry Silaa nili kunukuu kuhusu swala la wageni mnafanya maboresho kuhusu wageni kumiliki ardhi.
Tatizo linaweza kutokea mbeleni kwenye sheria hii sababu wananchi wengi...
Kwa mujibu wa Serikali DP World itapata 8% ya uendeshaji wa Dar Port huku kampuni nyingine kutoka Emarates Adani Ports Group nayo Iko mbioni ku strike deal ya Kuendesha ports ya Dar.
---
APSEZ...
Tunawashauri wenza wanaopanda mlima Kilimanjaro wasifanye tendo la ndoa /ngono Mlimani. Kwa sababu ukifika kule utaelewa, supply ya oxygen ni ndogo ndani ya mwili na demand tayari ni kubwa. Ile...
FUMBO MFUMBIE MJINGA
LUKA 17:20-21
Siku moja, mafarisayo walipomuuliza Yesu ufalme wa Mungu utakuja lini, aliwajibu hivi:, "ufalme wa Mungu hauji kwa kuonekana, 21 Wala watu hawatasema "huu hapa...
Hukumu ya kihistoria imetolewa katika mahakama za huko America, Kwa Rais mstaafu wa nchi hiyo, Donald Trump, kukutwa na hatia Kwa makosa 34 ya jinai, aliyoshitakiwa nayo.
Hiyo inamfanya Donald...
Kichwa hapo juu cha husika, huyu Mkurugenzi tangu Jumamosi iliyopita aliwaamuru watumishi hasa walimu kuchukua mafyekeo na majembe kwa amri na vitisho kwenda kusafisha makaburi siku ambayo si ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.