Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulitokea Wizi wakati wa Majira ya Barafu, ila kila Mmoja alisema hakutoka Nyumbani siku ya tukio. Ukiangalia picha hii kuna mmoja anadanganya. Unadhani ni nani huyo anaedanganya kati ya hawa wanne?
0 Reactions
12 Replies
59 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya...
14 Reactions
203 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
521K Replies
30M Views
Tunawashauri wenza wanaopanda mlima Kilimanjaro wasifanye tendo la ndoa /ngono Mlimani. Kwa sababu ukifika kule utaelewa, supply ya oxygen ni ndogo ndani ya mwili na demand tayari ni kubwa. Ile...
7 Reactions
41 Replies
384 Views
Polisi imethibitisha na Uchunguzi zaidi unaendelea. https://twitter.com/MwananchiNews/status/1796795004108570764?t=l8Kcpt9j7c0Ug4oAFfiHJw&s=19 My Take Mpaka Sasa wanawake wanaongoza 3-1
2 Reactions
12 Replies
13 Views
Wakuu habari, Chama cha Umokhonto We Sizwe (MK) chini ya kiongozi wake na aliye kuwa raisi wa zamani Jacob Zuma wamejizolea asilimia 13 ya wabunge wote mpaka sasa wamesha hesabu 80% ya wilaya...
5 Reactions
86 Replies
2K Views
Za Asubui wakuu, Kuna NGO nyingine unaweza kuzidhania wapo serious kumbe sio. Niliapply kazi kwa Australian based organization. Wakani shortlist, after one week nkapiga first interview,,,then...
0 Reactions
5 Replies
65 Views
A
Hapa mtaani kuna mama mmoja anaitwa Mama Nancy amemuajiri mtoto ambaye kwa umri sina uhakika lakini nahisi ana umri wa miaka 9 au 10, ameajiriwa kama house girl. Kibaya zaidi Mama Nancy amekuwa...
21 Reactions
101 Replies
2K Views
Msipokua Makini Kwenye Political econommy ya Nchi yetu hapa unaweza kujikuta kikatengezwa kikundi cha Watu ndio kinakula KODI ya Nchi hii, kikatengenezwa kikundi cha Watu ambacho ndio kina Bagaza...
4 Reactions
11 Replies
307 Views
Hili jiji la arusha ambalo linasifika kwa utalii na ambalo lina historia nzuri ya kutoa wasanii, waigizaji na watangazaji maarufu, sifa zake kwa nje ni nyingi na nzuri sana. Ila kwa uhalisia...
11 Reactions
76 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,191
Posts
49,767,821
Back
Top Bottom