Habari za mishe mishe wakuu.
Kila mtu anatamani harufu ya gari kutoka Japan. Tatizo linaweza kuja kwenye budget. Sasa tu-assume tuna maximum budget ya Mil 15 tu, je tunaweza kupata gari kutoka...
Karibuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji...
Hili jiji la arusha ambalo linasifika kwa utalii na ambalo lina historia nzuri ya kutoa wasanii, waigizaji na watangazaji maarufu, sifa zake kwa nje ni nyingi na nzuri sana. Ila kwa uhalisia...
Kingine ni hiki, vilitumika vigezo gani kuwapata? na inawezekanaje baada ya muda mfupi tu tangu Rais kutamka Kuongozana na Wasanii kwenye Ziara zake na mambo yameanza hapo hapo?
Je tukisema...
Kwa mujibu wa Serikali DP World itapata 8% ya uendeshaji wa Dar Port huku kampuni nyingine kutoka Emarates Adani Ports Group nayo Iko mbioni ku strike deal ya Kuendesha ports ya Dar.
---
APSEZ...
Polisi imethibitisha na uchuzi zaidi unaendelea.
https://twitter.com/MwananchiNews/status/1796795004108570764?t=l8Kcpt9j7c0Ug4oAFfiHJw&s=19
My Take
Mpaka Sasa wanawake wanaongoza 3-1
Waziri mkuu Mstaafu na mwenyekiti Mstaafu wa Chadema Kanda ya Mashariki amesema hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza nchi hii ya Tanzania zaidi ya Dr Samia
Sumaye alikuwa anamueleza Katibu mkuu...
Kulitokea Wizi wakati wa Majira ya Barafu, ila kila
Mmoja alisema hakutoka Nyumbani siku ya tukio.
Ukiangalia picha hii kuna mmoja anadanganya.
Unadhani ni nani huyo anaedanganya kati ya hawa wanne?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.