Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo. Mzee anasema hivi wanaume wameisha...
6 Reactions
61 Replies
637 Views
Shoga hilo la kizayuni kutoka taifa teule la Israel Benjamin Cohen ambaye ni founder wa "PinkNews"na mmewe Anthony James wameasili mtoto mchanga. Cc. wana wa israeli wa Tanzania. Kujeni hapa...
2 Reactions
27 Replies
159 Views
Adani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd. Mkataba huo wa miaka 30...
5 Reactions
67 Replies
2K Views
Kuna feelings flani hivi ameiziiing Eti wakuu?
6 Reactions
42 Replies
685 Views
Habari waungwana, Leo ikiwa wenzetu huku kenya wapo kweny sikukuu ya Mdaraka ''Madaraka day '' , kiongozi mmoja huko Uganda ameachia video ya utupu mtandaoni akila raha duniani . Kiongozi huyu...
5 Reactions
11 Replies
348 Views
Mbunge wa viti Maalum Jesca Kishoa asiyetambuliwa na Chadema (COVID 19) ameingia kwa kishindo wi layani mkalamo mkoani Singida kwa ajili ya kusherehekea Birthday yake Kadhalika Makamu mwenyekiti...
3 Reactions
5 Replies
94 Views
Limepiga la 4.5 tu lakini kiwewe kilichonipata. Vipi huko yanapiga ya 7! Nini cha kufanya na kutofanya litokeapo tetemeko.
6 Reactions
22 Replies
431 Views
Kuna wakati unaweza kukuta usingizi umekata ghafla hlf bado ni katikati ya usiku mwingi. Muda huo ni mtihani maana unaweza usijue ufanye shughuli gani maana bado ni usiku mkuu. Hapo kuna...
7 Reactions
15 Replies
376 Views
My people how's weekend? Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari. Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya...
27 Reactions
160 Replies
2K Views
Mfano mtu mlishatengana alafu UKa move on kuendelea na maisha lakini ukaanza Ku HEAL Ila sasa baada ya mda anakuwa anakutafuta tafuta utatumia MBINU GANI ILI aondoke kwenye maisha yako?
2 Reactions
14 Replies
86 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,266
Posts
49,769,594
Back
Top Bottom