Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tunafanya delivery kwa Wakazi wa Dar Unalipia ukipokea bidhaa yako Free delivery kwa Wakazi WA Dar(10KM) Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na magira
6 Reactions
1K Replies
31K Views
Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema Waziri mkuu mstaafu Mzee Sumaye ni mtu Muungwana na mfuatiliaji sana wa majukumu Nchimbi amesema mwaka 2005 akiwa DC Bunda tena kijana wa miaka 31 alienda...
4 Reactions
12 Replies
470 Views
Baada ya kutafakari na kuwaza nimeona niwaage mapema ili msinekusema kifo changu kimekuwa ghafla mno hapana mi ninawaaga kwaherini. Kuliko kuishi nchi ya villaza namna hii kwamba hawaoni mama...
18 Reactions
53 Replies
699 Views
Yani kuna hali yanifkirisha,au sijui ndiyo akili za weekend...!? Mtu kukua kutoka umri wa miaka 10 hadi 20 ilichukua mda mrefu sana. Ila Kukua kutoka umri wa miaka 20 hadi 30 mbona imefanyika...
6 Reactions
13 Replies
112 Views
Wanaume wengi huwa wana vimada nje ila huwa wanajiamini sana kuwa hawachapiwi huko nje, wengi huamini kuhudumia wake zao vizuri na kupiga mashine vizuri ndio kuwatuliza Lakini tunaambiwa kati ya...
10 Reactions
62 Replies
2K Views
Habari za humu jf Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa Sifa zangu Trible:Chagga Elim Diploma Kazi: Biashara ndogondogo Dini:Mkristo Lutheran(KKKT) Sina mtoto wala...
4 Reactions
9 Replies
32 Views
Gym trainers siyo poa yaani.
6 Reactions
32 Replies
1K Views
Hii Tabia Imeota mizizi na inakera sana kisa kiongozi unazuia watumiaji wa BaraBara Kubwa mfano BaraBara kubwa Unazuia mabasi na magari Yote yakusubiri utoke uliko na msafara unasubirisha magari...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari wanajukwaa la sports. Nimejiuliza hapa sijataka kuumiza kichwa changu kutafta huko kwenye websites ya TFF na platforms zingine maana naweza kutana na majibu ya ajabu ajuae kua karia...
3 Reactions
15 Replies
295 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,236
Posts
49,768,932
Back
Top Bottom