Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
521K Replies
30M Views
Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu. Wako wanaofurahia propaganda hizo. Wako wanaoamini propaganda hizo. Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo. Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media...
2 Reactions
142 Replies
2K Views
Ukisoma BBC Swahili web page yao imeandika kwamba Biden amewaomba Hamas wakubali pendekezo la kusimamisha vita lilotolewa na Isreal My take: Kumbe licha ya NATO, EU, America na Isreal kutumia...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Suala la kusema kuwa Rais wa WBO hajalipwa haiingii akilini maana mtu hawezi kutoka alipotoka hadi Tanzania kwa ajili ya mechi halafu awe hajalipwa. Baadhi ya wadau walisema Hassan Mwakinyo...
0 Reactions
5 Replies
155 Views
Kingine ni hiki, vilitumika vigezo gani kuwapata? na inawezekanaje baada ya muda mfupi tu tangu Rais kutamka Kuongozana na Wasanii kwenye Ziara zake na mambo yameanza hapo hapo? Je tukisema...
2 Reactions
10 Replies
340 Views
Gym trainers siyo poa yaani.
5 Reactions
28 Replies
803 Views
Saido tangu ajiunge simba akitokea Geita amekuwa na mchango mkubwa sana, ndiye mchezaji pekee ambaye kila msimu katika idadi ya wafungaji mabao hakosi tatu bora, ndiye mchezaji anayejua kupiga...
6 Reactions
25 Replies
688 Views
Kulitokea Wizi wakati wa Majira ya Barafu, ila kila. Mmoja alisema hakutoka Nyumbani siku ya tukio. Ukiangalia picha hii kuna mmoja anadanganya. Unadhani ni nani huyo anaedanganya kati ya hawa wanne?
2 Reactions
32 Replies
294 Views
Sio kwamba tunaongea au kuombea mabaya la hasha. Tunajaribu kuangalia hali halisi! Mpaka kufikia leo katika bureu de change dola moja inanunuliwa kwa 2660Tsh. Hii rate inapanda kila siku kwa kasi...
20 Reactions
99 Replies
2K Views
CCM ni chama chama wakulima na wafanyakazi, lazima kiwasemee watu hawa. Ni wapiga kura wake. Katika pitapita zangu mitaani, ni hofu imetanda miongoni mwa watumishi wa umma. Watumishi wa umma...
7 Reactions
73 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,199
Posts
49,768,010
Back
Top Bottom