Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Young Africans na Azam FC wamekuwa na michezo bora msimu huu, najua kesho kutakuwa na upinzani mkubwa na sisi tumejiandaa na hilo Mchezo huo wa Fainali utapigwa katika uwanjwa wa New Amaan...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Salaam, Shalom!! Salamu hapo juu itoshe kukujulisha kuwa walengwa wa HOJA hapo juu ni Wana wa Mungu, ni wale ambao wanahangaika,wanafanya KAZI Kwa bidii, wanajitenga na UOVU, walipao ZAKA nk nk...
11 Reactions
25 Replies
343 Views
My people how's weekend? Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari. Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya...
5 Reactions
20 Replies
25 Views
Nimesoma gazeti la leo la Mwananchi Juni 1, 2024 ukurasa wa mbele lina kichwa kisemacho, Bajeti ya Ujenzi Mnyukano hoja ya Mdee na Mawaziri watatu kuhusu mikataba iliyosainiwa na Profesa Makame...
2 Reactions
4 Replies
125 Views
Hili pambano naona ndilo pambano kali kuliko yote uliyowahi kushuhudia duniani. Kama una roho ndogo usiangalie tafadhali. Rumble in the Jungle ilikuwa moja ya wakati muhimu katika historia ya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nakubaliana na Mtaka,Kuna ma RC na DC wengi tuu wanafanya kazi zao za Kutatua Kero vizuri kabisa ukiacha wale waigizaji wachache kama Makongoro wa Rukwa ambae amezeeka hana jipya. Lakini majority...
9 Reactions
100 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia mwanamke mmoja na mtu mwingine anayedaiwa ni hawara yake kwa tuhuma za mauaji ya mme wa mwanamke huyo kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi...
2 Reactions
19 Replies
278 Views
Achila mbali IDs au avatar yake... Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
15 Reactions
376 Replies
4K Views
Japo wabunge wengi wametekeleza vizuri sana wajibu, kazi na majukumu yao hasa ya kitaifa kupitia bunge, kwa weledi na umahiri mkubwa, lakini kutokana na hali halisi huko majimboni kwao inaonekana...
3 Reactions
44 Replies
651 Views
Mwanzo na kati kati mwa msimu Gamond alionekana hana mbinu, Timu ndogo zikipaki bus alikuwa hana mbinu. Sasa hivi anambinu nyingi sana, Nilianza kuziona kuanzia ile gemu ya CR BELOUZDAD na ile ya...
4 Reactions
32 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,202
Posts
49,768,065
Back
Top Bottom