Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari waungwana, Leo ikiwa wenzetu huku kenya wapo kweny sikukuu ya Mdaraka ''Madaraka day '' , kiongozi mmoja huko uganda ameachia video ya utupu mtandaoni akili raha duniani . Kiongozi huyu...
1 Reactions
4 Replies
5 Views
Binafsi nimezaa na mwanamke mmoja mbaye ameajiliwa na Jeshi moja wapo miongoni mwa majeshi hapa nchini. Huyu mwanake amekuwa na nyodo sana kutokana na kazi yake anayoifanya! Huyu mwanamke anaijua...
13 Reactions
73 Replies
1K Views
IBILISI RUDISHA FAHAMU ZETU(MIMI NA MKE WANGU). BY ISSAI SINGANO . (Singano jr). DIBAJI Saa saba mchana Frida alionekana akiingiza gari ndani ya hospitali na taasisi ya kitafiti ya Neuroscience...
4 Reactions
261 Replies
61K Views
Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi. Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini...
16 Reactions
72 Replies
1K Views
Ni mwaka jana huyu binamu yangu alianza degree alikuwa anaishi kwangu kwasababu ni karibu na chuo pia alikuwa mgeni kwenye mkoa. Niliona namnyima uhuru wa maisha yake ya kimapenzi maana chuoni...
2 Reactions
39 Replies
689 Views
Kama si Wakoloni, huenda Tanganyika kwa sasa ingekuwa ni nchi ndogo sana au kubwa sana kuliko ilivyo sasa. Isingelikuwa Wakoloni, huenda Arusha na Kilimanjaro zingekuwa nchi zinazojitegemea...
1 Reactions
9 Replies
118 Views
Mimi sio mpenzi kabisa wa wireless earphones, Nikanunua original Samsung Type-C earphones 30k powered by AKG kuja kutumia kasauti nilikokutana nako na niliyozoea nikahisi au nimeziharibu? ni...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Nakubaliana na Mtaka,Kuna ma RC na DC wengi tuu wanafanya kazi zao za Kutatua Kero vizuri kabisa ukiacha wale waigizaji wachache kama Makongoro wa Rukwa ambae amezeeka hana jipya. Lakini majority...
7 Reactions
85 Replies
2K Views
Tunawasaidia Wajasiriamali Kufikia Mafanikio!🚀 Je, unataka kukuza biashara yako kwa bidhaa bora kutoka China? 🌏 Wakati ndio huu! BlueSky Air Cargo tunakuwezesha kusafirisha mizigo yako kwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,132
Posts
49,766,129
Back
Top Bottom