Kama Mtanzania ninaunga mkono ziara ya Mhe. Rais Korea Kusini. Jana kupitia luninga nimeiona ndege ya ATCL ikitua kule Korea Kusini. Binafsi ninaona kusafiri na ndege ile kubwa aina ya airbus ni...
Licha ya kwamba tumekuwa tukiwaponda sana Wazaramo kwa tabia za kupenda ngoma na shughuri na mafiga matatu lakini leo wacha niwaeleze sifa za wanawake wa Kizaramo.
Hawa mademu wa Kizaramo wana...
Vijana wa Tanzania ni wajanja sana na wanajitambua kuliko wale wa Africa Kusini tuliowasaidia kupata Uhuru
CCM liangalieni hili kwa umakini mkubwa
Mlale unono 😀🌟
Achila mbali IDs au avatar yake...
Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
Baraza la mitihani la Taifa limefanya mabadiliko kwenye mitihani ya kuhitimu elimu ya msingi kwa kuondoa machaguo ya majibu kwenye somo la hisabati kuanzia mitihani ya mwaka huu.
Pia wanatarajia...
Adani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd.
Mkataba huo wa miaka 30...
CCM ni chama chama wakulima na wafanyakazi, lazima kiwasemee watu hawa. Ni wapiga kura wake.
Katika pitapita zangu mitaani, ni hofu imetanda miongoni mwa watumishi wa umma.
Watumishi wa umma...
Hili jiji la arusha ambalo linasifika kwa utalii na ambalo lina historia nzuri ya kutoa wasanii, waigizaji na watangazaji maarufu, sifa zake kwa nje ni nyingi na nzuri sana. Ila kwa uhalisia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.