Kama kuna eneo moja ambalo wazee wetu wa zamani walipotoka ni hii dhana ya kumrithisha mtoto tunguli kwa nguvu na bila ridhaa yake.
Wenzetu waliwarithisha watoto wao elimu ujuzi na maarifa vyenye...
Rais Samia amekiri kusikia kelele na matusi ya watanzania juu ya sera zake na uongozi wake. Lakini amesema ameamua kujifanya kuwa kama "chura kiziwi" mpaka dhamira yake na lengo lake la...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kila Mwanajeshi ninayekutana nae wa Uganda ( hasa Maafisa ) na Wengi wao walioko katika Kikosi cha Ulinzi cha Rais Museveni na Wakubwa Wao walikoko Makao Makuu yao ya Mbuya na wale walioko katika...
Habari wadau.
Kwenye media industry ya Tanzania kuna media mpya imeanzishwa ambayo inamilikiwa na Joseph Kusaga akishirikiana na msanii alikiba.
Kusaga ni mzoefu mmiliki wa media nyingi ikiwemo...
Vijana wengi wa kitanzania wasomi na wasio wasomi wengi wao wamekuwa wakilalamika aina ya maisha ya sasa yalivyo magumu kwako.
je sababu ni serikali kutowawekea mazingira wezeshi au ni kubweteka...
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.