Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

CDE JOKATE APEWA TUZO YA UBALOZI WA AFYA YA AKILI 31 MEI, 2024 UVCCM HQ Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) - Cde. Jokate Urban Mwegelo apewa Ubalozi wa afya...
3 Reactions
16 Replies
157 Views
Urusi imeishutumu Nato na Marekani kwa "kuchochea kiwango kipya cha mvutano" baada ya Marekani na Ujerumani kuwa washirika wa hivi punde kuruhusu jeshi la Ukraine kutumia silaha zinazotolewa na...
5 Reactions
18 Replies
487 Views
Nimesoma gazeti la leo la Mwananchi Juni 1, 2024 ukurasa wa mbele lina kichwa kisemacho, Bajeti ya Ujenzi Mnyukano hoja ya Mdee na Mawaziri watatu kuhusu mikataba iliyosainiwa na Profesa Makame...
0 Reactions
1 Replies
30 Views
Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi. Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini...
17 Reactions
84 Replies
1K Views
Kichwa hapo juu cha husika, huyu Mkurugenzi tangu Jumamosi iliyopita aliwaamuru watumishi hasa walimu kuchukua mafyekeo na majembe kwa amri na vitisho kwenda kusafisha makaburi siku ambayo si ya...
3 Reactions
96 Replies
1K Views
Achila mbali IDs au avatar yake... Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
14 Reactions
328 Replies
3K Views
Nakubaliana na Mtaka,Kuna ma RC na DC wengi tuu wanafanya kazi zao za Kutatua Kero vizuri kabisa ukiacha wale waigizaji wachache kama Makongoro wa Rukwa ambae amezeeka hana jipya. Lakini majority...
9 Reactions
94 Replies
2K Views
Hello, Habari zenu wapendwa. Ninaomba uzoefu wa gharama ya ujenzi wa nyumba yenye sebule, chumba na choo cha public…ni standard tu ya kawaida.
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Ni kisa cha kushangaza sana. Nimeikuta mtandao wa Quora. Baada ya mazishi ya mwanaume mmoja, mbwa wake alitoweka ghafla na kwenda kusikojulikana. Siku mbili baadaye alikutwa akiwa amelala kwenye...
8 Reactions
19 Replies
231 Views
Kila pambno lake anaweka vigisu ninwasi Sasa njama zinatumika kumdidimiza mwakinyo kwa kile kitendo chake Cha kujifanya don care kwa vile ndugu yake anaweza kumkingiwa kifuwaa na naibu waziri wa...
4 Reactions
8 Replies
178 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,169
Posts
49,766,908
Back
Top Bottom