Ndugu zangu Watanzania,
Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya...
Shule ya Msingi Kitonga iliyopo kwenye Halmashauri ya Jiji Dar es Salaam (Ilala) iliyopo Kata ya Msongola, Kitonga ina Wanafunzi zaidi ya 4000 ambao wanatumia madarasa 13 huku wakitegemea Walimu...
Athari ya vita vya Gaza inazidi kuenea duniani kwa vikundi vidogo kujiamini kupambana na wababe wa dunia.
Msemaji wa wanamgambo wa Houth ,Yahya Saree amesema kikosi chake kimoja kimefanikiwa...
Kuna wanawake walikuwa na nguvu bwana.
Achana na akina Wema Sepetu.
Achana na akina Mobeto.
Yaani hawa walikuwa wanamuamrisha rais nini cha kufanya.
Unajua CIA walikuwa makini sana kwenye...
Hapa mtaani kuna mama mmoja anaitwa Mama Nancy amemuajiri mtoto ambaye kwa umri sina uhakika lakini nahisi ana umri wa miaka 9 au 10, ameajiriwa kama house girl.
Kibaya zaidi Mama Nancy amekuwa...
Mambo vipi wazee?
Kuna pahala panaitwa Pugu Kazimzumbwi alhamarufu Ushoroba.
Ni pazuri sana kwa mkazi wa Dar au Pwani anaetaka kupumzika siku moja au weekend kuzipisha kelele za bodaboda, bajaji...
Kuna jambo nimelifanya leo... [emoji3]
Leo nilikua naelekea hospitali na mgonjwa wangu... Sasa kufika maeneo flani nikasimamishwa Traffic, basi kwa kutii sheria nkasimama kwa mbele. Alikuja...
Kuna wakati huwa nashangaa sana wanaume wanapo lala na njaa kisa eti mama nanii hayupo...!!
Kwa hili nampongeza sana mama yangu kwa malezi aliyo nilelea, na hasa wakati ule nilikuwa nadhani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.