Wakuu salama humu, moya kwa moya kwenye mada
Kuna manzi nilikuwa nae nilikuwa nikimpenda sana akaja niache kwasababu ambazo mpaka sasa hazielezeki, maana sikumfumania wala hakunifumania ni ugomvi...
Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi, marefu na ya Kati...
Wakuu, kwema?
Kwa wanaoishi ghetto au wenye sebule, wakati unapambana kubadirisha muonekano wa chumba chako, ebu jaribisha na hivi vitu vitatu hapa chini, vinaweza kubadirisha sana muonekano wa...
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo...
Vyombo vya habari vya Marekani vimetoa ripoti kwamba, kampuni za kutengeneza dawa nchini humo zinashawishi Bunge la nchi hiyo kuiwekea China vikwazo, kwa sababu China imefanikiwa kubuni teknolojia...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimefuatilia mijadala mbalimbali ya kisiasa inapokuwa ikifanyika katika maeneo mbalimbali, iwe ni mitaani au kwenye mitandao ya kijamii. Nimekuja kugundua kuwa CHADEMA na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.